LATEST NEWS/HABARI MPYA
|
Written by Mohamed na Geofrey Nyang'oro
|
|
Wednesday, 09 July 2008 |
|
KINYANG'ANYIRO cha kuwania nafasi za uongozi ndani ya Jumuiya ya Wazazi ya Chama cha Mapinduzi (CCM) kimeiva baada ya wajumbe waliorudisha fomu za kuwania nafasi ya Mwenyikiti Taifa kufikia 15 na Makamu Mwenyekiti wakifikia saba.
Akizungumza na Mwanachi, Ofisini kwake jijini Dar es Salaam jana Katibu Mkuu wa Jumuia hiyo, Badru Bushako alisema hadi kufikia jana wajumbe waliokuwa wamerudisha fomu hizo ni 15 ambao wote wameomba nafasi ya Mwenyekiti Taifa
Alisema wajumbe hao waaliorudisha fomu ni kutoka Tanzania Bara na kwamba wapo wajumbe saba waliorudisha fumo hizo kutoka Tanzania Visiwani ambao wote wanagombea nafasi ya Makamu Mwenyekiti Taifa. Be first to comment this article | Add as favourites (1) | Quote this article on your site |
|
Read more...
|
|
|
Written by Tamali Vullu, Dodoma
|
|
Wednesday, 09 July 2008 |
|
MBUNGE wa Kishapu, Fred Mpendapoe, ameeleza kushangazwa na baadhi ya watu wanaokejeli ripoti ya kamati ya Bunge ya kuchunguza mkataba tata wa uzalisaji wa umeme wa dharura wa Kampuni ya Richmond na kusema kuwa ilikuwa na ukweli mtupu.
Alisema ripoti hiyo ilikuwa sahihi na kwamba kupitia ripoti hiyo, Bunge limepata heshima ndani na nje ya nchi.
Mbunge huyo aliyekuwa akichangia hotuba ya Wizara ya Nishati na Madini, alisema siku zote ukweli unajisimamia, na hivyo ndivyo ilivyojidhihirisha katika ripoti ya kamati hiyo.
“Ukweli siku zote una sehemu tatu. Sehemu ya kwanza unakejeliwa, sehemu ya pili unapingwa hata kwa watu kutoana damu na sehemu ya tatu unakubalika,” alisema. Be first to comment this article | Add as favourites (2) | Quote this article on your site |
|
Last Updated ( Wednesday, 09 July 2008 )
|
|
Read more...
|
|
|
Written by DAILY NEWS Reporter
|
|
Wednesday, 09 July 2008 |
|
PRESIDENT Jakaya Kikwete has asked rich nations to continue supporting African countries in their daunting struggle for economic revival.
Mr Kikwete, who was addressing the G8 Summit in Hokkaido, Japan yesterday, hailed Japan’s decision to double its Official Development Assistance (ODA) for Africa over the next five years.
President Jakaya Kikwete with President George Bush at the G8 Summit July 2008.
“Africa needs the support of friends in the developed countries to compliment and supplement our efforts in our daunting struggle for economic revival,” he said.
President Kikwete, who is also the African Union (AU) chairman, said if Africa was left on its own it would take it many decades to successfully transform its economies from poverty and backwardness to prosperity and modernity. Be first to comment this article | Add as favourites (2) | Quote this article on your site |
|
Last Updated ( Wednesday, 09 July 2008 )
|
|
Read more...
|
|
|
BUSINESS AND ECONOMY/UCHUMI NA BIASHARA
|
Written by Tamali Vullu, Dodoma
|
|
Wednesday, 09 July 2008 |
|
Asema ndio chanzo cha mgogoro na TANESCO
SHIRIKA la Umeme Tanzania (TANESCO) limegundua kuwa limekuwa likidhulumiwa kwa kulipa gharama zaidi za umeme (capacity charge) kwa IPTL.
Hayo yalibainishwa bungeni jana na Waziri wa Nishati na Madini, William Ngeleja alipokuwa akisoma hotuba ya makadirio ya matumizi ya wizara hiyo.
Waziri wa Nishati na Madini,William Ngeleja akipewa pongezi na Mbunge wa CUF, Habib Mnyaa, nje ya Ukumbi wa Bunge Jumanne mjini Dodoma.
Alisema kutokana na uchunguzi uliofanywa na TANESCO, imegendulika kuwa equity halisi iliyotumika ilikuwa ni sh 50,000.
“Kwa maana hiyo, malipo ambayo TANESCO imekuwa ikiilipa IPTL kama Capacity Charge ni zaidi ya kiasi kilichostahili. Huu ndio msingi wa mgororo wa sasa ambao serikali/TANESCO na ITPL wanaendelea kuujadili,” alisema Ngeleja akithibitisha kauli ambayo imepata kugusiwa na baadhi ya vyombo vya habari hivi karibuni. Be first to comment this article | Add as favourites (1) | Quote this article on your site |
|
Last Updated ( Wednesday, 09 July 2008 )
|
|
Read more...
|
|
|
Written by CHARLES KIZIGHA
|
|
Tuesday, 08 July 2008 |
|
An assessment of prawns stock in the Tanzanian waters in the Indian Ocean will start soon, a senior government official told the 'Daily News'. The count is being taken to establish the magnitude of depletion of prawns stock in the sea as a result of unregulated trawling.
www.domainrich.net , www.flatrentaluk.com , www.diversityvisausa.com
There are fears that recovery of depleted stocks might take up to 10 years, instead of a year. The government recently suspended commercial trawling for prawns until next year to allow multiplication because harvesting level season dropped from 1,500 to 300 tonnes.
Commercial trawling for prawns (white, giant, tiger, brown and flower) in Tanzania is conducted in the Coast Region, mainly at Kisiju, Rufiji and Bagamoyo. The Director of Fisheries, Dr Geofrey Nanyaro, told the 'Daily News' today that stock assessment survey on prawns would start soon to determine the state of recovery before March, which is the beginning of the season. Be first to comment this article | Add as favourites (5) | Quote this article on your site |
|
Last Updated ( Tuesday, 08 July 2008 )
|
|
Read more...
|
|
|
Written by MIKE MANDE
|
|
Monday, 07 July 2008 |
|
The Tanzanian government will provide an additional $7 million for the construction of the underground electrical cable from the mainland to Pemba through the Indian ocean.
Mustafa Mkulo, the Minister for Finance and Economic Affairs, said the money released by the Tanzanian government will be added to the $20 million provided by the government of Norway for the implementation of the project.
Mr Mkulo said the money will be released in three phases. The first and second batches will be $2.5 million and will be released this year and next year respectively.
“The other $2.5 million will be released in 2010 when the project will be completed,” he said. Be first to comment this article | Add as favourites (4) | Quote this article on your site |
|
Read more...
|
|
|
POLITICS/SIASA
|
Written by Tanzania Daima, Freemedia
|
|
Wednesday, 09 July 2008 |
|
KAMBI ya Upinzani bungeni, imeitaka serikali kuacha kutoa majibu ya kisiasa, kuhusu Kampuni ya Meremeta, inayolalamikiwa kwa mambo mbalimbali.
Pia kambi hiyo imeitaka serikali kutoa majibu sahihi, pamoja na kuwataja wamiliki halisi wa kampuni hiyo.
Msimamo huo wa kambi ya upinzani ulitolewa bungeni jana na Msemaji Mkuu wa Kambi ya Upinzani wa Wizara ya Nishati na Madini, Mohammed Mnyaa (CUF).
Mnyaa ambaye pia ni mbunge wa Mkanyageni, alisema iwapo serikali imeona kuna jambo la siri juu ya Kampuni ya Meremeta, basi iwasilishwe kwenye Kamati ya Kudumu ya Bunge, au kwenye Kamati ya Uongozi.
“Lakini kauli kuwa serikali haiwezi kusema lolote, haiwezi kamwe kukubalika na Bunge hili. Be first to comment this article | Add as favourites (2) | Quote this article on your site |
|
Last Updated ( Wednesday, 09 July 2008 )
|
|
Read more...
|
|
|
Written by Kulwa Mzee, Dodoma
|
|
Wednesday, 09 July 2008 |
|
*Upinzani wataka Meremeta isijadiliwe kisiasa
SPIKA wa Bunge la Serikali Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samwel Sitta amesema Mbunge wa Bukoba Vijijini, Bw. Nazir Karamagi, hakusema uongo kuhusiana na mkataba wa Kampuni ya Kupakia na Kushusha Makontena bandarini (TICTS).
Spika alisema hayo jana bungeni kabla ya kusomwa kwa bajeti ya Wizara ya Nishati na Madini ya mwaka wa fedha 2008/9.
Alisema awali, Bw. Karamagi alitakiwa kutoa uthibitisho wa kauli yake kwamba suala la mkataba wa TICTS lilipata baraka za Baraza la Mawaziri.
Spika alisema uthibitisho alioupata ni kwamba mkataba wa TICTS ulifuata taratibu zote za Serikali, kwa maana hiyo ulipata baraka za Baraza la Mawaziri, hivyo Bw. Karamagi hakusema uongo.
Be first to comment this article | Add as favourites (2) | Quote this article on your site |
|
Last Updated ( Wednesday, 09 July 2008 )
|
|
Read more...
|
| |
|
|
More...
|
OPINION
|
Written by Mobini Sarya
|
|
Tuesday, 08 July 2008 |
|
 CHAMA cha NCCR-Mageuzi kimemtaka Rais Jakaya Kikwete kutoa tamko la kupanda kwa bei ya mafuta akirejea ahadi zake za maisha bora kwa kila Mtanzania aliyowaahidi Watanzania.
Aidha kimehoji sababu ambazo zimemfanya Rais Kikwete aache kuhutubia taifa kupitia vyombo vya habari kama ilivyokuwa kawaida yake kila mwezi ambapo kwa miezi miwili sasa, hajalihutubia taifa.
Akizungumza na waandishi wa habari jana jijini Dar es Salaam, Mkuu wa Idara ya Itikadi na Mafunzo, George Kahangwa, alisema chama hicho kinawapa pole Watanzania kwa ugumu wa maisha unaosababishwa na kupanda bei ya mafuta.
Alisema ni vema Rais Kikwete akatoa tamko la ufumbuzi wa tatizo hilo ili wananchi waweze kufikia ahadi iliyotolewa ya kupatiwa maisha bora. Be first to comment this article | Add as favourites (4) | Quote this article on your site |
|
Read more...
|
|
|
Written by KARL LYIMO lyimok@gmail.com
|
|
Monday, 07 July 2008 |
|
Shifting the capital of Tanzania from Dar-es-Salaam to Dodoma is one of the longest government projects in the country’s 47-year post-independence history. It must also be one of the most erratic wishy-washy affairs.
The project was initiated by the late President Julius Nyerere in 1972, who liked Dodoma for its central location. The hope was that, centrally-basing the government and related public institutions — including diplomatic missions, international organisations and Tanzania’s development partners — would speed up national socio-economic development.
AFTER YEARS OF FALSE STARTS, THE project’s implementation seemed to take off in 1993. But, not for long. Successive governments under Presidents Ali Hassan Mwinyi and Benjamin Mkapa never particularly distinguished themselves in keeping the project rolling. Be first to comment this article | Add as favourites (6) | Quote this article on your site |
|
Read more...
|
| |
|
|
HEALTH AND BEAUTY/UREMBO NA AFYA There are no Items to display
ENTERTAINMENT/BURUDANI |